Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


๐๐ก๐๐ฃ๐๐ก๐๐๐ฆ๐๐ช๐ (๐ฏ๐ฑ๐ฌ๐ธ ๐ง๐๐ต๐): Ni apartment ya vyumba viwili (2) vya kulala chumba kimoja ni 'MASTER BEDROOM', Sebule, Jiko na Choo cha Public ndani. Ipo ndani ya fensi parking space kubwa inajitegemea umeme na maji ya DAWASCO.
๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ฃ๐ข: Kimara Temboni upande wa kushoto ukiwa unaelekea mbezi. Umbali ni km 1 tu kutoka morogoro road.
๐๐๐ ๐ฌ๐๐๐: Laki tatu na elfu hamsini tu (350,000/- Tshs) ร Miezi 6 + Mwezi mmoja malipo ya Dalali
๐ฆ๐๐ฟ๐๐ฒ๐ ๐ฐ๐ต๐ฎ๐ฟ๐ด๐ฒ kupelekwa kuona nyumba ni Tshs 10,000/- , italipwa mara moja tu na itatumika hiyo hiyo ikiwa mteja utataka kuona nyumba zingine.
๐ฃ๐๐๐ ๐ฆ๐๐ ๐จ: 0758 892945 (Inapatikana WhatsApp)