Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT YA KUPANGA KIMARA MWISHO
=======================
*CHUMBA, SEBULE, JIKO, PUBLIC TOILET NDANI, MAJI DAWASA YANA FROW NDANI
*ZIKO 3 KTK COMPAUND MOJA, NA KILA MMOJA ANA JITEGEMEA KILA KITU NDANI, PARKNG SPACE HAKUNA
*NYUMBA IKO UMBALI WA KM2, BAJAJI, DALADALA 500/=
*KODI 250,000/= KWA MWEZI
*SERVICE CHARGE YA KUONA NYUMBA@15,000/= Ukilipia nyumba ni kodi ya mwezi mmoja malipo ya dalali
______________________________
# Simu 0757 404087