Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







INAPANGISHWA LOCATION KIMARA MWISHO KM 1
KUTOKA STEND KIMARA MWISHO USAFIRI BAJAJI ZIPO PIKIPIKI ELF 1000
SIFA YA NYUMBA
_________________
hii nyumba NI chumba master na sebule kubwa sana na jiko zuri ndani Inajitegemea umeme NA maji nyumba hii ipo ndani ya uzio
Mazingira mazuri
KODI YA PANGO
_________________
Kodi kwa mwezi ni laki mbili nanusu tuu
( 250,000×6
0713661530_0783661530