Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
HIZI APARTMENT ZIPO 2 TU KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA IPO WAZI
#SEBULE KUBWA
#CHUMBA CHA KULALA WASTANI
#CHOO KIZURI CHA NDANI
#JIKO KUBWA KABATI UKUTANI
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#NYUMBA ZIPO 2 TU KWENYE FENSI PARKING KUBWA
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 7-8 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI
#BEI NI 310,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA PAMOJA NA PESA YA TAADHALI YA KULINDA UHARIBIFU WA NYUMBA