Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
(300,000X6)KIMARA MWISHO...USISUBIRI KODI IISHE NDIO UTAFUTE NYUMBA UTAANGUKIA JUMBA BOVU..WAHI HII MPYAAA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
APARTMENT MPYA NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 300,000/= X 6 ILIPWE SAMBAMBA NA PESA YA TAHADHARI (CAUTION MONEY) KODI YA MWEZI MMOJA YAANI LAKI 3
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA LENYE MAKABATI
#STORE
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
#GARDEN
BEI NI 300,000/= X 6
🏘️ APARTMENT HII IPO KIMARA MWISHO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 10 TUU KWA MIGUU
📌📌 ZITAKUA TAYARI KUHAMIA KUANZIA TAREHE 25/05/2024 SASA HIVI RUKSA KUZIONA NA KUFANYA MALIPO YOTE YA MIEZI 6 + NA PESA YA TAHADHARI SHILINGI LAKI 3
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
KUPELEKWA SITE ELF 15
UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMPA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683497453