Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
CHUMBA MASTER BEDROOM INAPANGISHWA- KIMARA MWISHO MPYAAAA MPYAA
chumba Cha kulala Kikubwa
Choo ndani
Kodi 120,000 Kwa mwezi ร 6
Umeme shared,Maji yanaflow chooni. MAJI BURE KABISA
Umbali KM 2.5 toka kituoni Usafiri bajaji zipo zakutosha
Ndani ya fence parking ipo
Kupelekwa kuona Nyumba elfu 15 itadumu mpaka Upate bila kuchajiwa Tena
malipo ya dalali nikodi ya Mwezi mmoja
SIMU 06 59 33 67 51 WSP 07 86 08 56 37