Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
MASTER BEDROOM NA KISEHEMU CHAJIKO LAKE INAPANGISHWA KIMARA SUKA KODI NI 80,000X6 IPO KIMALA STOP OVER
Chumba cha kulala
Choo ndani
NAKISEHEMU CHAKIJIKO ndani
Maji Free nayanaflow chooni
Umeme WAKO MAJI YAKO
Bei: 80,000 Kwa mwezi × 6
Umbali km 1 Bajaji zakutosha au bodaboda 1000
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347