Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT INA PANGISHWA MPYAAA MPYAAA KABISA KIMARA MWISHO DAKIKA.10 KWA KUTEMBEA KWA MGUU KUTOKA BARABARA YA MOROGORO ROAD USAFIRI UPO WA BODA ELFU 1000/=
------
#Chumba kikubwa
#Seble kubwa sana
#Na choo chako mwenyewe
Cha nje Aushei na mtu yoyote
#Na jiko lako lanje
#Umeme Luku yako mwenyewe
#Maji dawasa Miter yako
#Maji yana flow chooni
#Tiles safi
#Gypsum board
#Slide window
#Parving blocks safi
#Ndani ya fence kubwa
#Parking space ipo kubwa
--------
Service charge ni Tsz 15,000/=
Kodi ni Tsz 200,000/= X 4
---------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 200,000/=
----------
Contacts Us:
#0785889413
#0754589413