Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
INAPANGISHWA LOCATION KIMARA STOP OVER DK 4 KUTEMBEA
KUTOKA STEND STOP OVER
SIFA YA NYUMBA
__________________
Kuna chumba sebule master bedroom haina jiko
Kwa chini zipo 2 wazi
Inajitegemea umeme NA maji
Mazingira mazuri sana
Wale ambao hampendi kukaa mbali njoo na hela
KODI 200,000X6
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347