Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT MPYA KABISA ZINA PANGISHWA KIMARA KOROGWE KM2 KUTOKA LAMI
ZINA KUWA TAYARI TAR 1.2.2025 KUONA NA KULIPIYA LUKSA
SOMA KWA UMALINO
---------
A.
Chumba master
Seble
Jiko
Luku yako
----------
Service charge 15,000/=
Kodi 250,000/=×6
-----------
B
Chumba master
Jiko
Luku yako
Maji yana flow
Parking space kubwa
------------
Kodi 150,000/=×6
-------------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja
#dalali_big_kimara 🇹🇿
0677370515