Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


220000x3
ITAKUWA WAZI TAREHE 01.6.2024
APARTMENT INAPANGISHWA KIMARA TEMBONI #220k
Chumba sebule Choo na jiko zuri ndani
Kodi 220,000 Kwa mwezi × 3
Umbali KM 2.5 kutoka Morogoro Road Usafiri bajaji bodaboda na haice
Inajitegemea umeme na maji yanaflow chooni na jikon
Ndani ya fence Paving block 🚫
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
⬇️
Simu/06 59 33 67 51
⬇️
Wsp/07 86 08 56 37