Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







#APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA KIMARA KOROGWE
KODI 400,000/=×6 
LOCATION KIMARA KOROGWE KM 1.5 USAFIRI BAJAJI 500 UNAWEZA PITIA UBUNGO RIVER SAID PIA
SIFA ZAKE 
____________
#VYIUMBA 2 KIMOJA MASTER KUBWA 
#SEBULE KUBWA 
#PABLICK TOILET NDANI 
#JIKO KUBWA LA MAKABATI OPERN KITCHEN 
#UMEME LUKU YAKO 
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI MITA YAKO 
#MAZINGIRA MAZURI GADENI PAKING SPACE IPO 
DALALI KIMARA SUKA LEONARD 
0719-092747
0765-494343
0683-387747




















