Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


MASTER BEDROOM KUBWA SANA YA KIBABE INAPANGISHWA KIMARA MWISHO KODI 120,000X6
Chumba cha kulala kikubwa Sana na Choo ndani ( MASTER BEDROOM
Kodi 120,000 Kwa mwezi Γ 6
Umeme wawili kuna submeter,maji yanaflow chooni bill, NDUGU MTEJA NYUMBA NI YAKUHAMIA TU
Umbali KM 1.4 kutoka kimara mwisho bodaboda 1000 Bajaji 700 daladala 500
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347