Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
HAYA KWA WALE WANAO ANZA MAISHA NYUMBA HII HAPA
LOCATION KIMARA MWISHO
UMBALI KM 2.5
BAJAJI 1000
KODI 100,000X3
NI CHUMBA NA SEBULE NA CHOO CHA PEMBENI CHA KWAKO MWENYEWE
SIYO VIKUBWA SANA NI VYA WASTANI
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHARGE NI 15,000
BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
MAJI YANA FLOW CHOONI
IPO NDANI YA FENSI
MAZINGIRA MAZURI SANA
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI