Nyumba inapangishwa Ntyuka, Dodoma
Kwa mahitaji yote ya viwanja Dodoma mjini
Mradi 1: CHIDACHI NTYUKA
sifa za viwanja
▶km 5 kutoka Dodoma mjini
▶viwanja vimepimwa na Vina hati
▶karibu na hospital ya DCMC
▶karibu na stesheni ya SGR Dodoma
▶Umeme, maji na barabara vipo hadi site
▶Eneo ni tambalale
▶Majirani wapo tayari
▶Nyumba zimejengwa kwa kufata ramani za mipango miji
▶Bei kuanzia mil 9.5 malipo kwa awamu tatu
Mradi 2: Nghongo'onha ( Mvumi road )
Sifa za viwanja
▶Viwanja vimepimwa
▶Km 9 kutoka Dodoma mjini
▶mita 500 kutoka lami inayoelekea mvumi
▶karibu na ring road ( barabara ya mzunguko)
▶Ukubwa kuanzia sqm 400 na kuendelea
▶Bei kuanzia mil 4( malipo kwa miezi 6)
▶Maji, umeme na barabara vipo
▶Majirani wanaendelea na ujenzi
Kwenda site ni bure na kila siku
Mawasiliano : 0768 333 054