Nyumba inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam
MASTER BEDROOM &KITCHEN 150K X6
ILIPWE LAKI MOJA NA NUSU MALIPO YA MIEZI SITA
NYUMBA IPO UBUNGO MAKOKA KWA MKUA USAFIRI BAJAJI UKISHUKA UNATEMBEA DK 10 UMEFIKA
SIFA ZAKE
#CHUMBA MASTER
#JIKO
UMEME INAJITEGEMEA MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI NYUMBA IPO NDANI YA FENCE PARKING SPACE KUBWA SANA
GHARAMA YA KUONYESHWA NYUMBA NI ELFU 15,000 MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA