Nyumba inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam
Nyumba nzuri sana wadau wangu hii si ya kuikosa kabisa mwenyewe ana shida sana kavulugwa ana itupa tu kwa bei nafuu sana tsh million 65 tu
Nyumba ipo mbagala chamaz kwa mkongo jiji la dar es salaam wilaya temeke kata ya chamaz mtaa wa dovya
Nyumba ina vyumba vnne vya kulala kimoja ni master bedroom ina sitting room ina daining room na jiko pamoja public toilet ina kisima cha maji na umeme upo wa luku nyumba nzuri sana
Ukubwa wa eneo square miter 870
Ina document ya mauziano ya office ya serikali ya mtaa upimaji shilikish Usha fanyika
Nyumba ina frem mbili za maduka
Ipo miter 300 tu kutoka mbagala chamaz kwa mkongo jiji la dar es salaam