Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







NMESHUSHA BEI KIDOGO KUTOKA 300K MPAKA 250K X6
NYUMBA MPYA MPYAA KABISA INATAZAMA LAMI INAPANGISHWA
KIMARA KOROGWE KWA MKUWA USAFIRI BAJAJI DALADALA SH 5OO NA UKISHUKA TU UNAPIGA TEKE MLANGO
SIFA ZAKE
#CHUMBA KIMOJA
#SEBULE
#JIKO
#PUBLIC TOILET YA NDANI
TYRIES GYPSUM MADIRISHA ALUMINIUM FENCE INAJENGWA FULL PEVING BLOCK ๐ซ ZINAWEKWA
#UMEME UNAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA INAJITEGEMEA PIA YANAFLOW NDANI SIRI YA HII MABOSS WETU KUNA KISIMA PIA MAJI MASAA 24๐ฐ
GHARAMA ZA KUONA NYUMBA 15,000 MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA