Nyumba ya chumba kimoja inauzwa Chamazi, Dar Es Salaam







NYUMBA INAUZWA BEI YA KUTUPWA
IPO CHAMAZI, WILAYA YA TEMEKE DAR ES SALAAM. O719969102
___________________________________________
π Bei ya Ofa: Milioni 75 TU!
π Wahi boss, haikai hii!
___________________________.
π MAELEZO YA NYUMBA:
Vyumba vya Kulala 3, kimoja master bedroom, ikiwa pamoja Sebule kubwa ya kifamilia, Dining Room, ( Sehemu rasmi ya kula chakula ), Jiko la Kisasa,
Choo cha Nje, Choo cha kawaida kwa matumizi ya public, Tiles za Kisasa, Madirisha ya Aluminium,
Huduma za Maji na Umeme tayari. Nyumba ina Fence, na parking ya gari zaidi ya 3.
___________________________
π MAHALI: Chamazi Wilaya ya Temeke
Mkoa wa Dar es Salaam β Tanzania.
Nyumba hii iko katika mazingira tulivu na rafiki, karibu na huduma muhimu kama vile maduka, shule, na sekta za afya.
_______________
π WASILIANA NASI LEO:
#0689138795whatsapp
#0758998074π