Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Amani, Tanga


NYUMBA INAPANGISHWA AMANI DARAJA BOVU
#unguja #zanzibar
Nyumba ya nne Kutoka Barabarani 
Vyumba 4 ( Master 1) Ukumbi, Dining Room, Jiko, Public Toilet 
Maji ✅
Fensi ✅
Bei Tsh 350,000/= Laki tatu na elfu hamsini Kwa Mwezi (Malipo kuanzia miezi 6)
What's App/Call 0653007438
#mtegemeachanduguhufamaskini
#kimfaachomtuchake
#sisiniwahadhizote




















