Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam
Wadau wangu mwenyewe ana shida sana ana iyuza tsh million 17 tu
Ipo mbagala m bande magengeni jiji la dar es Salam wilaya ya temeke
Ina vyumba 4 vya kulala kimoja ni master bedroom ina sitting room na dining room inajiko na store ina maji na umeme upo wa luku
Nyumba nzuri sana Njoo uone mdau wangu nyumba ina tubwa sana nipigie cm au nicheki whatspp 0759203175
0652618143