Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam
NYUMBA MPYA YA-KISASA,VYUMBA VINNE (4) TSHS.120 MILIONI, MBAGALA MAJIMATITU.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 450.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Ipo jirani sana na Barabara ya Lami.
Na ni kilomita 2 tu kutoka Kituo cha
Mwenda kasi. (RANGITATU)
Vyumba 4 vya kulala ( Viwili Vyoo ndani)
Pia Ina Sebule,Jiko,Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani.
Nyumba ina KISIMA.
Umeme uoo.
NI NYUMBA YA KUHAMIA.
__________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
___________rr
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.