Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam
Nyumba kalli sana ipo mbagala chamaz mikumi jiji la dar es Salam wilaya ya temeke Nyumba nzuri bei Million 75 tu
Eneo kubwa square mitar 540
Ina document yamsuziano ya office ya serikali ya mtaa
Vyumba vipo vinne vya kulala kimoja ni master bedroom ina sitting room na dining room inajiko na store ina kisima chamaji na umeme upo wa luku
Njoo uiyone mdau wangu utojutia kabisa
Kutoka bara bara kuu ya lami kuja kwenye hii nyumba ni dakika 0 tu
Kwa maelekezo zaidi nipigie cm au nicheki whatspp
0759203175. 0652618143