Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Mlandizi, Pwani


ENEO ZURI LENYE OFA YA KUENDESHA KIWANDA,TSHS 150 MILIONI, MLANDIZI.
Hapa ni VIKULUTI.
Umbali wa kilomita 5 tu kutoka Mlandizi kwenue Lami.
Ipo Ofa ya juendesha shughuli za Viwanda.
Kuna nyumba kwaajili ya Wafanyakazi yenye Vyumba 4.
Na pia Banda la Mifugo.
JITAHIDI WAHI HAPA HAPA UWEKEZE JIRANI NA MJINI.
Umeme upo jirani.
______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000
(Unalipa wewe MNUNUZI)
+255714591548
_______________mpg