Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Msongola, Dar Es Salaam
NYUMBA INAUZWA NA BANK, TSHS.25 MILIONI,MSONGOLA.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 450.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Ni jirani na GARDEN HALL na VIWEGE KCC.
Hii ni nyumba yenye Vyumba 4 ( Masta 1) vya kulala Sebule,Jiko,Dining-room na Choo cha Familia ndani.
_____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuiona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
+255714591548.
_____________mpg
Ukihitaji kuikagua taarifa mapema tafadhali.