Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


NYUMBA NZURI YA KISASA NA IPO MTAA MZURI SANA INAPANGISHWA BEI NI 700,000/= X 6
NYUMBA HII KWENYE FENSI MOJA ZIPO NYUMBA 2 TUU KUNA HII KUBWA YA MBELE NDIO INAPANGISHWA NA INASIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VIKUBWA SANA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA SANA
#DINNING
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#AIR-CONDITION
#GARDEN
#PARKING KUBWA
#ZIPO NYUMBA 2 TUU KWENYE FENSI MOJA NA ZIPO MBALI MBALI
BEI NI 700,000/= X 6
๐ซ๐ซ APARTMENT HII IPO KIMARA BUCHA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 8 TUU KWA MIGUU
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
SIMU 06 59 33 67 51 WSP 07 86 08 56 37