Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbagala, Dar Es Salaam
SOLD OUT XXX! Nyumba inapangishwa bei laki 2 kwa mwezi kodi kuanzia miezi 3 nakuendelea. Nyumba IPO mbagala mbande kisewe location kwadarueshi, ina rooms 3 vyakulala sitting room, dinning room, jiko, room moja ni master bedroom, store, public toilet, tiliz, madilisha vioo, mafeni juu panga boy yapo, ni stand alone, unajitegemea kwa kila kitu kuanzia fensi ya parking ipo, umeme luku yk, pamoja na maji pia mita yk. Kwa mawasiliano zaidi pga namba 0688559385 au pga namba 0719250426.