Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam
Nyumba inauzwa ipo mbagala chamazi Nyumba ya vyumba 3 vya Kulala stingiroom dainingiroom master toilet pclic kicheni Nyumba umeme upo maji yapo Nyumba ina boikota ya chumba 1 Nyumba umeme upo maji yapo ukubwa WA kiwanja sqm 300 Nyumba aipo na kituo cha daladala Nyumba bei ml 65
0746 433 854