Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam
Ipo mbagala chamaz magengeni jiji la dar es Salam wilaya ya temeke kata ya chamaz mtaa wa msufini
Ina uzwa bei ya kutupa sana tsh mil 110 tu
Ina eneo kubwa square mitar 700
Ina vyumba vitatu vya kulala vyumba viwili ni masters bedroom ina sitting room na dining room inajiko na store ina maji na umeme upo wa luku nyumba nzuri sana
0759128747 } { 0624436503
0712058357 } { whatsapp