Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam
Nyumba inauzwa ipo mbagala chamazi saku nyumba ya vyumba 3 vya Kulala master stingiroom nyumba umeme karipia maji yapo Nyumba ina boikota ya vyumba 2 Nyumba aipo na kituo cha daladala Nyumba bei ml 39 #0683491594 #0716974073