Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam
#NYUMBA INAUZWA MILIONI 59 - MBAGALA CHAMANZI
✔️NYUMBA NI NZURI SANA NA IKO KATIKA MTAA MZURI SANA
✔️INA SEBULE KUBWA, DINNING ROOM, VYUMBA VITATU #MASTA MOJA, JIKO NA STOO, CHOO CHA PUBLIC
✔️MAJI YAPO
✔️FULL PAVINGS
✔️ENEO NI 400SQM
NYUMBA IMESHUKA BEI KUTOKA 65M MPK 59M NJOO IWAHI
☎️0788 077337 ☎️ 0625 637254