Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Pugu, Dar Es Salaam
NYUMBA YENYE VYUMBA VITATU (3) TSHS.80 MILIONI, PUGU-KICHANGANI.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM.800.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Ujenzi wa kisasa.
Vyumba 3 (Masta)
Pia kuna Sebule, Jiko, Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani.
Ndani ya Fensi na Parking yakutosha.
________________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
_______________tp
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.