Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Temeke, Dar Es Salaam







NYUMBA NZURI SANA INA UZWA BEI YA KUTUPA SANA TSH MIL 35 TU
IPO MBAGARA CHAMAZ MKOA WA DAR ES SALAM WILAYA YA TEMEKE KATA YA CHAMAZI MTAA WA DOVYA
INA VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA NI MASTER BDROOM INA SITTING ROOM INA DAINING ROOM NA JIKO PAMOJA NA PUBLIC TOILET 0652 618 143
KWA MAELEKEZO ZAIDI NIPIGIE CM AU NICHEKI WHATSAPP 0759 203175