Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(320,000 × 4,5,6) 𝗞𝗜𝗠𝗔𝗥𝗔 𝗕𝗔𝗥𝗨𝗧𝗜
APARTMENT ZIPO NNE TU KWENYE COMP𝗢UND MOJA KATI IZO MOJA IPO WAZI
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO ZURI
#PUBLICK TOILET
#PAVING BLOCKS NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#LOCATION KIMARA BARUTI KLM 1 USAFIRI WA KUMWAGA BAJAJI /500 UKISHUKA TU UNAPIGA TEKE GETI BODA BUKU MPAKA GETINI
KODI 300,000 × 6
CONTACT US
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp