Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
HIZI APARTMENT ZIPO NNE KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA IPO WAZI
#SEBULE KUBWA
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA LENYE KABATI
#PUBLICK TOILET YA WAGENI
#TAILZY GIPSAM MADIRISHA YA ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCK MAZINGIRA MAZURI SANA NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING YA KUTOSHA
LUKU INAJITEGEMEA
MAJI DAWASA YANATOKA NDANI
LOCATION KIMARA KOROGWE DK 3 KUTOKA MWENDOKASI
BEI NI 450,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
#HAPA ANATAKIWA MPANGAJI MUISLAMU ZINGATIA ILO