Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
NYUMBA YA KUPANGA KIMARA MWISHO
======================
*VYUMBA 2 VYA KULALA, KIMOJA MASTER BED ROOM, SEBULE, SEEMU YA KUPIKIA NDANI AU UNAWEZA FANYA DINNING
*ZIKO 2 KTK COMPAUND MOJA, NA KILA MMOJA ANA JITEGEMEA KILA KITU NDANI, PARKNG SPACE KUBWA SANA
*NYUMBA IKO UMBALI WA KM1, BAJAJI, DALADALA, TAX700
*KODI 200,000\/= KWA MWEZI
_____________________________
*SERVICE CHARGE YA KUONA NYUMBA@15,000\/=
_____________________________
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI