Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI ZINAPANGISHWA
BEI
TSH. 300K KWA MWEZI. MALIPO YAFANYIKE KUANZIA MIEZI 6
LOCATION
KIMARA KOROGWE KWA MKUWA. DK10 KUTOKA KITUONI
SIFA
VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA NA JIKO LAKE ZURI PUBLIC TOILET YA NDANI
TILES, GYPSUM, MADIRISHA ALUMINIUM,
NDANI YA FENCE
PARKING KUBWA
PERVING BLOCKS
CCTV CAMERA
ULINZI HAPA KAMA IKULU
N.B** ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 7-7 KUONA NA KULIPIA RUKSA
WASILIANA NASI;
0684217177, 0716834095