Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbagala, Dar Es Salaam
SOLD OUT XXX! Nyumba inapangishwa ipo mbagala chamazi mikumi bei laki 3 kwa mwezi kodi kuanzia miezi 3 nakuendelea. Nyumba ina rooms 2 vyakulala, sitting room, jiko, room moja ni master bedroom, public toilet ipo, full A/c ndani ipo, tiliz, madilisha vioo, kila kitu unajitegemea kuanzia umeme umeme luku yk, maji, mita yk hadi fensi, yaan ni stand alone house. Umbali wake kutoka kwenye kituo cha daladala hadi kwenye nyumba ni kama mwendo wa dakika 6 ivi kwa kutembea kwa miguu. Kwa mawasiliano zaidi pga namba 0688559385 au pga namba 0719250426.