Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbagala, Dar Es Salaam
Nyumba inapangishwa bei laki 2 kwa mwezi kodi kuanzia miezi 6 nakuendelea. Nyumba IPO mbagala mbande kisewe stendi, nyumba ni stand alone house, ina rooms 2 vyakulala sitting room, jiko, room moja ni master bedroom, public toilet ipo, unajitegemea kuanzia fensi ya parking, umeme luku yk pamoja na maji pia mita yk, tiliz, madilisha vioo, mafeni juu panga boy yapo, na paving blocks chini zpo. Umbali wake kutoka kwenye kituo cha daladala hapo kisewe stendi hadi kwenye nyumba ni kama mwendo wa dakika 5 ivi kwa kutembea kwa miguu. Kwa mawasiliano zaidi pga namba 0688559385 au pga namba 071925 0426.