Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
APARTMENT ZINA PANGISHWA MBEZI MWISHO KM1 KUTOKA LAMI
-------
Vyumba 2 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa sana
Jiko kubwa la kisasa
Public toilet
Slide window
Luku yako
Tiles
Gypsum
Maji yana flow
Ndani ya fence
Parking space kubwa sana
--------
Service charge 15,000/=
Kodi 450,000/=Γ6
---------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 4.5
----------
Contact
π#0677370515