Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam
#Repost dalali_makini_ubungo_riverside
——
Apartment zipo 2 Moja ndio ipo wazi
Location Ubungo Riverside Kibangu Dakika 15 Kutembea mpaka Kituoni Boda 1000
Kodi 200000×6 Kwa Mwezi Dalali Mwezi 1 Service Charge 20 Kuona Nyumba
Sifa za Nyumba
==========≠====
Room 2 za Kulala hakuna Master Bedroom
Hakuna Jiko Kuna Korido
Public toilet ndani
Maji Dawasa yapo
Parking space fancy
Apartment zipo 2
Luku yake
Good environment