Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam
nyumba Kalli sana ipo mbagala maji matitu Jillian kabisa na stendy ya mwendo Kasi kama kilometers 2 tu
Nyumba nzuri sana ime jengwa vzuri sana ni nyumba mpya kabisa ya kisasa ime kamilika yote ina kila kitu
Bei tsh million 120 tu
Ukiwa na maongezi njoo site ukague nyumba tumalize biashara
Nyumba Ina vyumba vnne vya kulala vyumba viwili ni masters bedroom ina sitting room ina daining room na jiko pamoja public toilet ina kisima cha maji na umeme upo wa luku
Ukubwa wa eneo square miter 450 ina document kamili za office ya serikali ya mtaa upimaji shilikish Usha fanyika
Kutoka bara bara kuu ya lami kuja kwenye hii nyumba ni dakika 2 tu
Na kutupa stendy ya mwendo Kasi kama kilometers 2 tu
Njoo uone live mdau wangu ukiwa sirious uwezi kuiyacha kabisa nyumba nzuri sana ina uzwa bei nzuri pia ounguzo lipo la bei tuta kukutanisha na mwenyewe muzungumze
Kalibuni sana wateja wangu
Kwenda Site elf 50
Cont 0715 423 267.0755 454 251