Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







#Repost dalali_makini_ubungo_riverside
——
Apartment house for Rent za Kisasa mpyaaa
Location Kimara Stop over Km 1 from Road usafiri Boda 1000 Mpka home
Kodi 300000× 6 Kwa Mwezi Dalali mwezi 1 Service Charge 20000 Kuona nyumba
Sifa za Nyumba
=================
Chumba na Sebule
Jipo open Kitchen with Cabinet
Luku yake
Maji Dawasa ndani
Parking space fancy
Pavin Blocks
Apartment zipo 2 Moja ndio ipo wazi
Apartment hii inajitegemea Gate yake Kwa Pembeni
Public toilet ya Wageni ipo Kwa nje
Good environment
Piga sm mapema
07 12500602
07 55336565