Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA IPO WAZI NDIO MAFUNDI WANAFANYA MABORESHO YA KILA KITU HILI UPATE NYUMBA MPYA
#SEBULE
#CHUMBA MASTER
#JIKO KUBWA
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI YANATOKA JIKONI NA CHOONI
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 10-15 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI BODA BUKU MPAKA GETINI
#BEI NI 200,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
Kwa maelezo zaidi piga :--
0712528820
0685221354
Mr.