Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
![media -1 media -1](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fmakazimapya.s3.amazonaws.com%2Fpublic%2Fads%2Fimages%2F8c0d4b7f-7778-4de6-9a06-36bb1bb68b7e.jpg&w=3840&q=75)
![media -1 media -1](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fmakazimapya.s3.amazonaws.com%2Fpublic%2Fads%2Fimages%2F8c0d4b7f-7778-4de6-9a06-36bb1bb68b7e.jpg&w=256&q=75)
*APARTMENTS 6 zinauzwa Milioni 33 maongezi yapo📍Zipo MBEZI MWISHO MAKABE MSAKUZI* Dar es salaam - Tanzania
◇Apartment mbili ni Sebule na Chumba master kodi ni laki 100,000 kwa kila moja.
◇Apartment 4 ni chumba chumba kila Mpangaji analipa kodi Elf 50 kwa kila chumba
◇Makusanyo ya kodi kwa mwezi kwa wapangaji wote ni laki (400,000) Kwa mwaka mzima ni milioni (480,000)
◇Apartments zote 6 zimejaa wapangaji
◇Plot size Sqmt 200
◇Document Sales agreement (Hati ya mauziano ya selikali za mitaa kiwanja kimepimwa Hati miliki itatoka kwa Jina la mteja atakae nunua)
*Bei shilingi milioni 33 maongezi yapo*
0746 433 854