Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Salama, Mara
KARIBU UWISHI SEHEM NZURI Na SALAMA
FULL ULINZI 24HRS WAHI
#APARTMENT YA #KIBACHELA KALII SANA INAPANGISHWA
Location: KIMARA MWISHO
Distance: KM 2 AU BAJAJI AU BODA, PIA UNAWEZA PITIA KIMARA STOP OVER.
__
🥕SEBULE KUBWA
🥕CHUMBA KIMOJA KIKUBWA MASTER
🥕FULL A/c
🥕FULL PAVING BLOCKS 🚫
🥕MAJI Na UMEME LUKU YAKO
🥕CCTV CAMERAS 📷
🥕SEHEMU KUBWA YA PARKING 🚘
🥕HEATER YA MAJI
🥕BEMBEA YA WATOTO
🥕JIKO LA NGUVU SANA
🥕BARCON
🥕GOOD ENVIRONMENT 👍
KODI 300,000 × 6
SERVICE CHARGE 15,000/=
MALIPO YA DALALI PETER KODI YA MWEZI MMOJA
For More Informations
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp