Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam


Apartment MPYA Inapangishwa UBUNGO MSEWE
NYUMBA INA CHUMBA KIMOJA CHA KULALA
Master bedroom
Sebule
Umeme wa luku
Maji yana flow ndani
Full tilles, gypsum & aluminum
Usalama wakutosha
Kodi 220,000/= kwa mwezi mmoja, Malipo miezi 6
Kwa maelezo zaidi piga :--
0712528820
0685221354
Mr.