Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


FUNDI YUPO KAZIN KWA KAS YA 5G INAPIGWA RANGI NDAN NA NJE
NI APARTMENT NZURI INAPANGISHWA
LOCATION: KIMARA KOROGWE KM I.2 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS
USAFIRI BAJAJI 500 UKISHUKA DK 2 UPO NYUMBAN
KODI NI 350,000 KW MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA KAMILI
SIFA ZAKE
=========
VYUMBA VITATU (3)
KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA
JIKO ZURI KUBWA
PUBLIC TOILET
TILLES
GYPSUM
ALUMINIUM
LUKU YAKO
MAJI DAWASA
YANAFLOW NDANI
NDAN YA FENS
PARKING SPACE KUBWA
MAZINGIRA MAZURI
NA TULIVU
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347