Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam
Apartment house for Rent za Kisasa nzuri
Location Ubungo Riverside Dakika 2 Kutembea mpaka Kituoni
Kodi 500000×6 Kwa Mwezi Dalali Mwezi 1 Service Charge 20 Kuona Nyumba
Sifa za Nyumba
===============
Room 3 Moja ni Master Bedroom Kubwa
Sebule Kubwa sana
Dining Room
Kitchen with Cabinet
Public toilet ndani
Luku yake
Maji Dawasa ndani
Parking space fancy
Apartment zipo 3 Moja ndio ipo wazi
Good environment
Piga sim Kwa Maelezo zaidi
0712500602
0755336565