Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







HII NYUMBA INAFANYIWA MAREKEBISHO MAKUBWA SANA KAMA VILE CHOO KITAKUA CHA KISASA SANA TOFAUTI NA UNAVYOKIONA APO
APARTMENT NZURI INAPANGISHWA
Location: KIMARA KOROGWE
KODI NI 280,000 × 6
✔️SEBULE KUBWA
✔️VYUMBA VIWILI VYA KULALA
✔️JIKO ZURI KUBWA
✔️CHOO NDAN PUBLIC. Aina master
✔️INAJITEGEMEA UMEME Na MAJI
✔️DAWASA YANAFLOW NDANI 24HRS
✔️TIRES, GYPSUM Na SLIDE WINDOWS
✔️IPO NDANI YA FENCE
✔️PARKING SPACE KUBWA 🚗
✔️GOOD ENVIRONMENT 👍
SERVICE CHARGE 15,000
1 MONTH AGENT COMMISSION
CONTACT US
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp